Ole wangu, mama yangu, kwa kuwa umenizaa mtu wa kuteta, na mtu wa kushindana na dunia yote! Mimi sikukopesha kwa riba, wala watu hawakunikopesha kwa riba; lakini kila mmoja wao hunilaani.
Mathayo 10:34 - Swahili Revised Union Version Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Biblia Habari Njema - BHND “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Neno: Bibilia Takatifu “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Neno: Maandiko Matakatifu “Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. BIBLIA KISWAHILI Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga. |
Ole wangu, mama yangu, kwa kuwa umenizaa mtu wa kuteta, na mtu wa kushindana na dunia yote! Mimi sikukopesha kwa riba, wala watu hawakunikopesha kwa riba; lakini kila mmoja wao hunilaani.
Lakini Wayahudi wasioamini wakawataharakisha watu wa Mataifa na kuwatia nia mbaya juu ya ndugu.
Lakini jamii ya watu wa mjini wakafarakana; hawa walikuwa upande wa Wayahudi, na hawa upande wa mitume.
Akatoka farasi mwingine, mwekundu sana, na yeye aliyempanda aliruhusiwa kuiondoa amani katika nchi, ili watu wauane, naye akapewa upanga mkubwa.
ili kwamba vizazi vya wana wa Israeli wapate kujua ili kuwafundisha vita, hasa wao ambao hawakujua vita kabla ya wakati ule;