Mathayo 10:31 - Swahili Revised Union Version Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. BIBLIA KISWAHILI Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi. |
Waangalieni ndege wa angani, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni huwalisha hao. Ninyi je! Si bora kuliko hao?
Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana ghala wala uchaga, lakini Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!