Mathayo 10:31 - Swahili Revised Union Version31 Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Kwa hiyo msiogope; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Hivyo msiogope; kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Msiogope basi; bora ninyi kuliko mashomoro wengi. Tazama sura |