Zaburi 8:5 - Swahili Revised Union Version5 Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Umemfanya awe karibu kama Mungu, umemvika fahari na heshima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji la utukufu na heshima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, ukamvika taji ya utukufu na heshima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Umemfanya mdogo kuliko Mungu; Umemvika taji la utukufu na heshima; Tazama sura |