Matendo 19:5 - Swahili Revised Union Version Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa. BIBLIA KISWAHILI Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. |
Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.
Lakini walipomwamini Filipo, akizihubiri Habari Njema za ufalme wa Mungu, na jina lake Yesu Kristo, wakabatizwa, wanaume na wanawake.
kwa maana bado hajawashukia hata mmoja wao, ila wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.