Matendo 8:16 - Swahili Revised Union Version16 kwa maana bado hajawashukia hata mmoja wao, ila wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 maana wakati huo Roho Mtakatifu hakuwa amemshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 kwa sababu Roho wa Mungu alikuwa bado hajawashukia hata mmoja ila wamebatizwa tu katika jina la Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 kwa sababu Roho wa Mwenyezi Mungu alikuwa bado hajawashukia hata mmoja ila wamebatizwa tu katika jina la Bwana Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 kwa maana bado hajawashukia hata mmoja wao, ila wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu. Tazama sura |