Matendo 19:5 - Swahili Revised Union Version5 Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Waliposikia haya, wakabatizwa katika jina la Bwana Isa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Waliposikia haya wakabatizwa kwa jina la Bwana Yesu. Tazama sura |