Matendo 19:6 - Swahili Revised Union Version6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu wa Mungu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Paulo alipoweka mikono yake juu yao, Roho wa Mwenyezi Mungu akawashukia, nao wakanena kwa lugha mpya na kutabiri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri. Tazama sura |