Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Marko 8:9 - Swahili Revised Union Version Na watu waliokula walikuwa elfu nne. Akawaaga. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga, Biblia Habari Njema - BHND Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga, Neno: Bibilia Takatifu Watu waliokula walikuwa wapata elfu nne. Baada ya kuwaaga, Neno: Maandiko Matakatifu Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga, BIBLIA KISWAHILI Na watu waliokula walikuwa elfu nne. Akawaaga. |
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.
Akawachukua wale Kumi na Wawili, akawaambia, Tazameni, tunapanda kwenda Yerusalemu, na mambo yote, Mwana wa Adamu aliyoandikiwa na manabii yatatimizwa.