Marko 8:5 - Swahili Revised Union Version Akawauliza, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.” BIBLIA KISWAHILI Akawauliza, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, |
Akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakasema, Mitano, na samaki wawili.
Akawaagiza mkutano waketi chini; akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie; wakawaandalia mkutano.
Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki wawili, tusipokwenda tukawanunulie watu hawa wote vyakula.