Mathayo 15:34 - Swahili Revised Union Version34 Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. Tazama sura |