Marko 8:14 - Swahili Revised Union Version Wakasahau kuchukua mikate, wala katika mashua hawana ila mkate mmoja tu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. BIBLIA KISWAHILI Wakasahau kuchukua mikate, wala katika mashua hawana ila mkate mmoja tu. |
Akawaagiza, akasema, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.