Marko 8:14 - Swahili Revised Union Version14 Wakasahau kuchukua mikate, wala katika mashua hawana ila mkate mmoja tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Wakasahau kuchukua mikate, wala katika mashua hawana ila mkate mmoja tu. Tazama sura |