Marko 8:13 - Swahili Revised Union Version13 Akawaacha, akapanda tena katika mashua, akaenda zake hadi ng'ambo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ngambo ya pili ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ngambo ya pili ya ziwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Basi, akawaacha, akapanda tena mashua, akaanza safari kwenda ng'ambo ya pili ya ziwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng’ambo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Kisha akawaacha, akarudi kwenye mashua, akavuka hadi ng’ambo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akawaacha, akapanda tena katika mashua, akaenda zake hadi ng'ambo. Tazama sura |