na chakula cha mezani pake, na maofisa wake walivyokaa, na kuhudumu kwao wahudumu wake, na mavazi yao, na wanyweshaji wake, na sadaka zake za kuteketezwa ambazo alizitoa katika nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia.
Marko 6:39 - Swahili Revised Union Version Akawaagiza wawaketishe wote, vikao vikao, penye majani mabichi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi. Neno: Bibilia Takatifu Kisha Isa akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani, Neno: Maandiko Matakatifu Kisha Isa akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani, BIBLIA KISWAHILI Akawaagiza wawaketishe wote, vikao vikao, penye majani mabichi. |
na chakula cha mezani pake, na maofisa wake walivyokaa, na kuhudumu kwao wahudumu wake, na mavazi yao, na wanyweshaji wake, na sadaka zake za kuteketezwa ambazo alizitoa katika nyumba ya BWANA, roho yake ilizimia.
Akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakasema, Mitano, na samaki wawili.
Kwa kuwa wanaume waliokuwako walikuwa kama elfu tano. Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, kila safu watu hamsini.
Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi wanaume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao.
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko, bali wa amani; vile vile kama ilivyo katika makanisa yote ya watakatifu.