Marko 6:40 - Swahili Revised Union Version40 Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 nao wakaketi kwenye vikundi vya watu mia mia, na wengine hamsini hamsini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini. Tazama sura |