Wakamzika katika mji wa Daudi kati ya wafalme, kwa sababu ametenda mema katika Israeli, na kwa Mungu, na katika nyumba yake.
Marko 6:29 - Swahili Revised Union Version Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wa Yohane walipopata habari, walikwenda wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini. Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini. Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wa Yahya walipopata habari hizi, wakaja na kuuchukua mwili wake, wakauzika kaburini. BIBLIA KISWAHILI Wanafunzi wake waliposikia habari, walikwenda, wakauchukua mwili wake, wakauzika kaburini. |
Wakamzika katika mji wa Daudi kati ya wafalme, kwa sababu ametenda mema katika Israeli, na kwa Mungu, na katika nyumba yake.
Wanafunzi wake wakaenda, wakamchukua yule maiti, wakamzika; kisha wakaenda wakampasha Yesu habari.
akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye.
Na mitume wakakusanyika mbele ya Yesu; wakampa habari za mambo yote waliyoyafanya, na mambo yote waliyoyafundisha.