Marko 6:28 - Swahili Revised Union Version28 akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 akakileta katika sinia, akampa msichana naye msichana akampa mama yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 akakileta kichwa chake kwenye sinia na kumpa yule msichana, naye yule msichana akampa mama yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye. Tazama sura |