Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 6:27 - Swahili Revised Union Version

27 Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Basi, mfalme akamwamuru askari kukileta kichwa cha Yohane. Askari akaenda, akamkata kichwa Yohane mle gerezani,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Mara mfalme akatuma askari mmoja wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Mara mfalme akatuma askari mmojawapo wa walinzi wake kukileta kichwa cha Yahya. Akaenda na kumkata Yahya kichwa humo gerezani,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Mara mfalme akatuma askari, akaamuru kuleta kichwa chake. Basi akaenda, akamkata kichwa mle gerezani,

Tazama sura Nakili

Marko 6:27
3 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme akahuzunika sana, lakini kwa ajili ya viapo vyake, na kwa ajili ya hao walioketi karamuni, hakutaka kumkatalia.

akakileta kichwa chake katika kombe, akampa yule kijana, naye yule kijana akampa mamaye.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo