Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.
Marko 3:30 - Swahili Revised Union Version kwa vile walivyosema, Ana pepo mchafu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”) Biblia Habari Njema - BHND Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”) Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.”) Neno: Bibilia Takatifu Isa alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa alisema hivi kwa sababu walikuwa wanasema, “Ana pepo mchafu.” BIBLIA KISWAHILI kwa vile walivyosema, Ana pepo mchafu. |
Nao waandishi walioshuka kutoka Yerusalemu wakasema, Ana Beelzebuli, na, Kwa mkuu wa pepo huwatoa pepo.
bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele,