Marko 3:31 - Swahili Revised Union Version31 Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita. Tazama sura |