Marko 3:12 - Swahili Revised Union Version Akawakataza sana, wasimdhihirishe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini aliwaonya wasiwaambie wengine kumhusu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini aliwaonya wasimseme yeye ni nani. BIBLIA KISWAHILI Akawakataza sana, wasimdhihirishe. |
Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila nenda zako, ukajioneshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
Macho yao yakafumbuka. Naye Yesu akawaagiza kwa nguvu, akisema, Angalieni hata mtu mmoja asijue.
Akaponya wengi waliokuwa na maradhi mbalimbali, akatoa pepo wengi, wala hakuwaacha pepo kunena, kwa sababu walimjua.
Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile.