Marko 3:13 - Swahili Revised Union Version13 Akapanda mlimani, akawaita aliowataka mwenyewe; wakamwendea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka. Basi, wakamwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka. Basi, wakamwendea, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Yesu alipanda kilimani, akawaita wale aliowataka. Basi, wakamwendea, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Isa akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Isa akapanda mlimani na kuwaita wale aliowataka, nao wakamjia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Akapanda mlimani, akawaita aliowataka mwenyewe; wakamwendea. Tazama sura |