Marko 2:28 - Swahili Revised Union Version Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ana uwezo hata juu ya Sabato.” Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ana uwezo hata juu ya Sabato.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ana uwezo hata juu ya Sabato.” Neno: Bibilia Takatifu Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” BIBLIA KISWAHILI Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia. |
Akawauliza, Ni halali siku ya sabato kutenda mema, au kutenda mabaya? Kuponya roho au kuiua? Wakanyamaza.
Basi baadhi ya Mafarisayo wakasema, Mtu huyo hakutoka kwa Mungu, kwa sababu haishiki sabato. Wengine wakasema, Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya ishara kama hizo? Kukawa na utengano kati yao.
akavitia vitu vyote chini ya miguu yake, akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya kanisa; ambalo
Nilikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,