Yohana 5:17 - Swahili Revised Union Version17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya kazi daima, nami pia nafanya kazi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya kazi daima, nami pia nafanya kazi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, Yesu akawaambia, “Baba yangu anafanya kazi daima, nami pia nafanya kazi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Isa akawajibu, “Baba yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Isa akawajibu, “Baba yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi. Tazama sura |