Luka 6:5 - Swahili Revised Union Version5 Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ana uwezo juu ya Sabato.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Isa akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato. Tazama sura |