Luka 6:4 - Swahili Revised Union Version4 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate ile ya wonyesho, akaila akawapa na hao wenziwe, ambayo si halali kuila ila kwa makuhani peke yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yeye aliingia katika nyumba ya Mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya Mungu, akala na kuwapa wenzake. Haikuruhusiwa mtu kula mikate hiyo isipokuwa tu makuhani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akaichukua na kuila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani tu. Naye pia akawapa wenzake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Aliingia ndani ya nyumba ya Mungu, akaichukua na kuila ile mikate iliyowekwa wakfu, ambayo ni halali kuliwa na makuhani peke yao. Naye pia akawapa wenzake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Jinsi alivyoingia katika nyumba ya Mungu, akaitwaa mikate ile ya wonesho, akaila akawapa na hao wenziwe, ambayo si halali kuila ila kwa makuhani peke yao. Tazama sura |