Marko 15:25 - Swahili Revised Union Version Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulubisha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha. Biblia Habari Njema - BHND Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha. Neno: Bibilia Takatifu Ilikuwa saa tatu asubuhi walipomsulubisha. Neno: Maandiko Matakatifu Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha. BIBLIA KISWAHILI Basi ilikuwa saa tatu, nao wakamsulubisha. |
Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Nayo ilikuwa Maandalio ya Pasaka, yapata saa sita. Akawaambia Wayahudi, Tazama, Mfalme wenu!