Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie mpaka chini?
Marko 15:18 - Swahili Revised Union Version wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakaanza kumsalimu, “Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!” Biblia Habari Njema - BHND Wakaanza kumsalimu, “Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakaanza kumsalimu, “Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!” Neno: Bibilia Takatifu Wakaanza kumsalimu kwa dhihaka, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” Neno: Maandiko Matakatifu Wakaanza kumsalimu kwa dhihaka, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” BIBLIA KISWAHILI wakaanza kumsalimu, Salamu, Mfalme wa Wayahudi! |
Akawaambia baba yake na ndugu zake; baba yake akamkemea akamwambia, Ni ndoto gani hii uliyoiota? Je! Mimi na mama yako na ndugu zako tutakuja tukusujudie mpaka chini?
Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika shimo mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake.
Wakasokota taji la miiba, wakaliweka juu ya kichwa chake, na mwanzi katika mkono wake wa kulia; wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki, wakisema, Salamu, Mfalme wa Wayahudi!