Marko 15:17 - Swahili Revised Union Version17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamwekea kichwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamvika kichwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wakamvalisha Isa joho la zambarau, wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Wakamvika vazi la rangi ya zambarau, wakasokota taji la miiba, wakamtia kichwani; Tazama sura |