Ndipo Eliakimu, mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa nyumba ya mfalme, na Shebna, mwandishi, na Yoa, mwana wa Asafu mwenye kuandika kumbukumbu, wakaenda kwa Hezekia, na nguo zao zikiwa zimeraruliwa, wakamwambia Hezekia maneno ya yule kamanda.
Marko 14:63 - Swahili Revised Union Version Kuhani Mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna haja gani tena ya mashahidi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Biblia Habari Njema - BHND Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Neno: Bibilia Takatifu Kuhani mkuu akayararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Neno: Maandiko Matakatifu Kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? BIBLIA KISWAHILI Kuhani Mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna haja gani tena ya mashahidi? |
Ndipo Eliakimu, mwana wa Hilkia, aliyekuwa msimamizi wa nyumba ya mfalme, na Shebna, mwandishi, na Yoa, mwana wa Asafu mwenye kuandika kumbukumbu, wakaenda kwa Hezekia, na nguo zao zikiwa zimeraruliwa, wakamwambia Hezekia maneno ya yule kamanda.
Na yeye aliye kuhani mkuu katika nduguze, ambaye mafuta ya kutiwa yamemiminwa kichwani mwake, naye akawekwa wakfu ili ayavae hayo mavazi, yeye hataziacha wazi nywele za kichwa chake, wala hatazirarua nguo zake;
Na Yoshua mwana wa Nuni, na Kalebu mwana wa Yefune, waliokuwa miongoni mwao walioipeleleza nchi, wakararua nguo zao;
Ndipo Kuhani Mkuu akararua mavazi yake, akisema, Amekufuru; mna haja gani tena ya mashahidi? Tazameni, sasa mmesikia hiyo kufuru yake;