Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Marko 14:64 - Swahili Revised Union Version

64 Mmesikia kufuru yake; mwaonaje ninyi? Wote wakamhukumu kuwa imempasa kuuawa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

64 Ninyi mmesikia alivyokufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

64 Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

64 Mmesikia kufuru yake; mwaonaje ninyi? Wote wakamhukumu kuwa imempasa kuuawa.

Tazama sura Nakili




Marko 14:64
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na yeyote atakayelaani jina la BWANA hakika atauawa; mkutano wote watamwua kwa kumpiga kwa mawe; kama ni mgeni, kama ni mzaliwa, hapo atakapolaani jina la BWANA atauawa.


Wakasema, Basi, tuna haja gani tena ya ushuhuda? Maana, sisi wenyewe tumesikia maneno ya kinywa chake.


Wayahudi wakamjibu, Sisi tunayo sheria, na kwa sheria hiyo amestahili kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.


Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,


Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo