Pumzi ya mianzi ya pua zetu, masihi wa BWANA, Alikamatwa katika marima yao; Ambaye kwa habari zake tulisema, Chini ya kivuli chake tutakaa kati ya mataifa.
Marko 14:46 - Swahili Revised Union Version Wakanyosha mikono yao wakamkamata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, hao watu wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni. Biblia Habari Njema - BHND Basi, hao watu wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, hao watu wakamkamata Yesu, wakamtia nguvuni. Neno: Bibilia Takatifu Wale watu wakamkamata Isa, wakamweka chini ya ulinzi. Neno: Maandiko Matakatifu Wale watu wakamkamata Isa, wakamweka chini ya ulinzi. BIBLIA KISWAHILI Wakanyosha mikono yao wakamkamata. |
Pumzi ya mianzi ya pua zetu, masihi wa BWANA, Alikamatwa katika marima yao; Ambaye kwa habari zake tulisema, Chini ya kivuli chake tutakaa kati ya mataifa.
Na mmoja wao waliokuwapo akafuta upanga, akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio.
Basi wale askari na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga.
mtu huyu alipotolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake tangu zamani, ninyi mkamsulubisha kwa mikono ya watu wabaya, mkamwua;
Wafilisti wakamkamata, wakamng'oa macho; wakateremka naye mpaka Gaza, wakamfunga kwa vifungo vya shaba; naye alikuwa akisaga ngano katika gereza.