Yohana 18:12 - Swahili Revised Union Version12 Basi wale askari na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kile kikosi cha askari, mkuu wake na walinzi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hivyo wale askari, wakiwa na jemadari wao na maafisa wa Wayahudi, wakamkamata Isa na kumfunga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hivyo wale askari, wakiwa pamoja na majemadari wao na maafisa wa Wayahudi, wakamkamata Isa na kumfunga. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Basi wale askari na yule jemadari na wale watumishi wa Wayahudi walimkamata Yesu, wakamfunga. Tazama sura |