Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hadi miisho ya dunia.
Marko 1:28 - Swahili Revised Union Version Habari zake zikaenea haraka kote katika nchi zote kandokando ya Galilaya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Biblia Habari Njema - BHND Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Habari za Yesu zikaenea upesi kila mahali katika eneo la Galilaya. Neno: Bibilia Takatifu Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. Neno: Maandiko Matakatifu Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. BIBLIA KISWAHILI Habari zake zikaenea haraka kote katika nchi zote kandokando ya Galilaya. |
Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hadi miisho ya dunia.
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Wakashangaa wote, hata wakaulizana, wakisema, Nini hii? Ni elimu mpya! Maana kwa uweza awaamuru hata pepo wachafu, nao wamtii!
Na mara walipotoka katika sinagogi, walifika nyumbani kwa Simoni na Andrea, pamoja na Yakobo na Yohana.
Lakini akatoka, akaanza kuhubiri maneno mengi, na kulitangaza lile neno, hata Yesu asiweze tena kuingia mjini waziwazi; bali alikaa nje mahali pasipokuwa na watu, wakamwendea kutoka kila upande.