Marko 1:18 - Swahili Revised Union Version Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Biblia Habari Njema - BHND Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. Neno: Bibilia Takatifu Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata. Neno: Maandiko Matakatifu Mara wakaacha nyavu zao, wakamfuata. BIBLIA KISWAHILI Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata. |
Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa katika mashua, wakizitengeneza nyavu zao.
Basi, kadhalika kila mmoja wenu asiyeacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
Naam, zaidi ya hayo, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya uzuri usio na kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambaye kwa ajili yake nimepata hasara ya mambo yote nikiyahesabu kuwa kama mavi ili nipate Kristo;