Maombolezo 3:8 - Swahili Revised Union Version Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie. Biblia Habari Njema - BHND Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ingawa naita na kulilia msaada anaizuia sala yangu isimfikie. Neno: Bibilia Takatifu Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, anakataa kupokea maombi yangu. Neno: Maandiko Matakatifu Hata ninapoita au kulia ili kuomba msaada, anakataa kupokea maombi yangu. BIBLIA KISWAHILI Naam, nikilia na kuomba msaada, Huyapinga maombi yangu. |
Ee BWANA, nilie hadi lini, wewe usitake kusikia? Nakulilia kwa sababu ya udhalimu, ila hutaki kuokoa.
Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?