Maombolezo 3:7 - Swahili Revised Union Version7 Amenizinga pande zote hata siwezi kutoka; Amenifunga kwa mnyororo mzito. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Amenizungushia ukuta nisitoroke, amenifunga kwa minyororo mizito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Amenizungushia ukuta nisitoroke, amenifunga kwa minyororo mizito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Amenizungushia ukuta nisitoroke, amenifunga kwa minyororo mizito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, amenifunga kwa minyororo mizito. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, amenifunga kwa minyororo mizito. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Amenizinga pande zote hata siwezi kutoka; Amenifunga kwa mnyororo mzito. Tazama sura |
Na sasa, tazama, nakufungulia leo minyororo hii iliyo mikononi mwako. Kama ukiona ni vema kwenda Babeli pamoja nami, haya! Njoo, nami nitakutunza sana; lakini kama ukiona ni vibaya kwenda Babeli pamoja nami, basi, acha; tazama, nchi yote iko mbele yako; palipo pema machoni pako na pa kukufaa, nenda huko.