Luka 11:10 - Swahili Revised Union Version10 Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Kwa kuwa kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Tazama sura |