Maombolezo 3:61 - Swahili Revised Union Version Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Biblia Habari Njema - BHND “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu. Neno: Bibilia Takatifu Ee Mwenyezi Mungu, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: Neno: Maandiko Matakatifu Ee bwana, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu: BIBLIA KISWAHILI Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu; |
Ukumbuke, Ee Bwana, Wanavyosimangwa watumishi wako; Jinsi ninavyostahimili kifuani mwangu Masimango ya watu wengi.
Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.
Mimi nimeyasikia masuto ya Moabu, na dhihaka za wana wa Amoni, ambazo kwa hizo wamewatukana watu wangu, na kujitukuza juu ya mpaka wao. 21:28-32; 25:1-11; Amo 1:13-15