Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Maombolezo 3:61 - Swahili Revised Union Version

61 Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

61 “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

61 “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

61 “Umesikia matukano yao ee Mwenyezi-Mungu, na mipango yao yote ya hila dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

61 Ee Mwenyezi Mungu, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

61 Ee bwana, umesikia matukano yao, mashauri yao yote mabaya dhidi yangu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

61 Ee BWANA, umeyasikia matukano yao, Na mashauri yao yote juu yangu;

Tazama sura Nakili




Maombolezo 3:61
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ee BWANA, uyakumbuke hayo, adui amelaumu, Na watu wapumbavu wamelidharau jina lako.


Ukumbuke, Ee Bwana, Wanavyosimangwa watumishi wako; Jinsi ninavyostahimili kifuani mwangu Masimango ya watu wengi.


Lakini wewe, BWANA, unajua mashauri yao yote juu yangu, ya kuniua; usiwasamehe uovu wao, wala usifute dhambi yao mbele za macho yako; bali wakwazwe mbele zako; uwatende mambo wakati wa hasira yako.


Na amwelekezee yule ampigaye shavu lake; Ashibishwe mashutumu.


Ee BWANA, kumbuka yaliyotupata; Utazame na kuiona aibu yetu.


Mimi nimeyasikia masuto ya Moabu, na dhihaka za wana wa Amoni, ambazo kwa hizo wamewatukana watu wangu, na kujitukuza juu ya mpaka wao. 21:28-32; 25:1-11; Amo 1:13-15


Tufuate:

Matangazo


Matangazo