Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Maombolezo 3:62 - Swahili Revised Union Version

62 Midomo yao walioinuka juu yangu Na maazimio yao juu yangu mchana kutwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

62 Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

62 Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

62 Maneno na mawazo ya maadui zangu siku nzima ni juu ya kuniangamiza mimi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

62 kile adui zangu wanachonong’ona na kunung’unikia dhidi yangu mchana kutwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

62 kile adui zangu wanachonong’ona na kunung’unikia dhidi yangu mchana kutwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

62 Midomo yao walioinuka juu yangu Na maazimio yao juu yangu mchana kutwa.

Tazama sura Nakili

Maombolezo 3:62
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wamenoa ndimi zao na kuwa kama za nyoka, Na katika midomo yao mna sumu ya fira.

Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.

Tazama, kwa vinywa vyao huteuka, Midomoni mwao mna panga, Kwa maana ni nani asikiaye?

Hapo ndipo waliposema, Njooni na tufanye mashauri juu ya Yeremia; maana sheria haitampotea kuhani, wala shauri halitampotea mwenye hekima, wala neno halitampotea nabii. Njooni, na tumpige kwa ndimi zetu, wala tusiyaangalie maneno yake yoyote.

basi tabiri useme, Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu, naam, kwa sababu wamewafanya ninyi kuwa ukiwa, na kuwameza pande zote, mpate kuwa milki kwa mabaki ya mataifa, nanyi mmesemwa kwa midomo yao waongeao, na kwa masingizio ya watu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo