Maombolezo 3:63 - Swahili Revised Union Version63 Uangalie kuketi kwao, na kuinuka kwao; Wimbo wao ndio mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema63 Wakati wote, wamekaa au wanakwenda, mimi ndiye wanayemzomea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND63 Wakati wote, wamekaa au wanakwenda, mimi ndiye wanayemzomea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza63 Wakati wote, wamekaa au wanakwenda, mimi ndiye wanayemzomea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu63 Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, wananidhihaki katika nyimbo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu63 Watazame! Wakiwa wameketi au wamesimama, wananidhihaki katika nyimbo zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI63 Uangalie kuketi kwao, na kuinuka kwao; Wimbo wao ndio mimi. Tazama sura |