Maombolezo 3:28 - Swahili Revised Union Version Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Biblia Habari Njema - BHND Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Neno: Bibilia Takatifu Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Mwenyezi Mungu ameiweka juu yake. Neno: Maandiko Matakatifu Na akae peke yake awe kimya, kwa maana bwana ameiweka juu yake. BIBLIA KISWAHILI Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake. |
Sikuketi katika mkutano wao wanaojifurahisha, wala sikufurahi, niliketi peke yangu kwa sababu ya mkono wako; kwa maana umenijaza ghadhabu.
Wazee wa binti Sayuni huketi chini, Hunyamaza kimya; Wametupa mavumbi juu ya vichwa vyao, Wamejivika viunoni nguo za magunia; Wanawali wa Yerusalemu huinama vichwa vyao Kuielekea nchi.