Maombolezo 3:28 - Swahili Revised Union Version28 Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Heri kukaa peke na kimya, mazito yanapompata kutoka kwa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Na akae peke yake awe kimya, kwa maana Mwenyezi Mungu ameiweka juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Na akae peke yake awe kimya, kwa maana bwana ameiweka juu yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake. Tazama sura |