Maombolezo 3:27 - Swahili Revised Union Version27 Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Ni vema mtu kujifunza uvumilivu tangu wakati wa ujana wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Ni vyema mtu kuchukua nira bado angali kijana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake. Tazama sura |