Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 23:2 - Swahili Revised Union Version

2 Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 “Leo pia lalamiko langu ni chungu. Napata maumivu na kusononeka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Hata leo malalamiko yangu ni ya uchungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Hata leo malalamiko yangu ni chungu; mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Hata leo malalamiko yangu yana uchungu; Pigo langu ni zito zaidi ya kuugua kwangu.

Tazama sura Nakili




Yobu 23:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.


Tena akuoneshe hizo siri za hekima, Ya kuwa hufanikiwa katika kuyatimiza makusudi yake! Ujue basi ya kuwa Mungu akuachilia katika uovu wako.


Ndipo Ayubu akajibu, na kusema,


Laiti ningejua mahali niwezapo kumwona, Nifike hata hapo anapokaa!


Maana huongeza uasi juu ya dhambi zake, Apiga makofi kati yetu, Na kuongeza maneno yake kinyume cha Mungu.


Kwa hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitanena kwa mateso ya roho yangu; Nitalia kwa uchungu wa nafsi yangu.


Kwa maana mchana na usiku Mkono wako ulinilemea. Jasho langu likakauka hata nikawa Kama nchi kavu wakati wa kaskazi.


Na akae peke yake na kunyamaza kimya; Kwa sababu Bwana ameweka hayo juu yake.


Mwanadamu, tazama, ninakuondolea kwa pigo moja tunu, mteule wa macho yako; walakini hutaomboleza wala kulia, wala yasichuruzike machozi yako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo