Maombolezo 3:16 - Swahili Revised Union Version Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Biblia Habari Njema - BHND Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Neno: Bibilia Takatifu Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini. Neno: Maandiko Matakatifu Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini. BIBLIA KISWAHILI Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu. |
BWANA, uinuke, Mungu wangu, uniokoe, Maana umewapiga taya adui zangu wote; Umewavunja meno wasio haki.
Ee binti wa watu wangu, ujivike nguo ya magunia, na kugaagaa katika majivu; fanya maombolezo, kama maombolezo kwa ajili ya mwana wa pekee, maombolezo ya uchungu mwingi; maana mwenye kuteka nyara atakuja juu yetu ghafla.
Habari ikamfikia mfalme wa Ninawi, naye akaondoka katika kiti chake cha enzi, akavua vazi lake, akajivika nguo za magunia, na kuketi katika majivu.
Maana ni yupi kwenu aliye baba, ambaye mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe au akimwomba samaki, badala ya samaki atampa nyoka?