Maombolezo 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Amenisagisha meno katika mawe, akanifanya nigaegae majivuni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Amevunja meno yangu kwa changarawe, amenikanyagia mavumbini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Amenivunja meno kwa changarawe; Amenifunika majivu. Tazama sura |