Zaburi 102:9 - Swahili Revised Union Version9 Maana ninakula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Majivu yamekuwa chakula changu, machozi nayachanganya na kinywaji changu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ninakula majivu kama chakula changu, nimechanganya kinywaji changu na machozi Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ninakula majivu kama chakula changu na nimechanganya kinywaji changu na machozi Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Maana ninakula majivu kama chakula, Na kukichanganya kinywaji changu na machozi. Tazama sura |